Recent content by Elias Bihemo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    Nice
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Kidogo na ka aj styles kanajitahd kujiamini na mkanda wake
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Huwa anazungumza logic na ana akil sana
  4. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ndogo ndogo

    Asante mkuu, hao jamanaprinters kwa mwanza wamefika or wapo dar tu
  5. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto za biashara ndogo ndogo

    Habarini wana jamvi Mimi ni mjasiriamali ambae bado nachipua nina project ambazo ni startups lakini katika baadhi ya project izo kuna tatizo ambalo lmenitesa sana lakin bado sjapatua ufumbuzi. Swala la vifungashio limekua ndo sababu inayonkwamisha plz kama kuna yeyote anaeweza kunielekeza...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Uo ni uonevu, utamfungaje mtu mikono
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Amna Mkuu,lazma ule asee,,,we nambie betting unayoijua af ntakupa ripoti
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Wakuu ivi kuna bet ambayo inabetisha wrestling?,, tuwe tunawalia pesa zao
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kupata mashine

    Habari wanajamvi, Mimi ni mjasiriamali Mdogo ambaye kwa sasa nmejikita katika kutengeneza bites lakin uzalishaji wangu umekua n wakusua sua kutokana na kukosa vitendeakazi, Ukosefu huu unatokana na udogo wa mtaji na kutopatikana kwa baadhi ya vifaa hata kama pesa ipo ya kuvinunua, Sasa naomba...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    No Ronda hakuhusika,,but Ronda alishawah kuwa na vita nao huko nyuma xo walivonsajili hii juz Ronda alkua haivi nao sana dats y yupo karib na Kurt angle. Xo triple na mkewe wakatumia huo ukarb wa Ronda na Kurt plus bif yao ya huko nyuma kutengeneza match, xo ikabid watafte njia ya kumkorofisha...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Ile vita triple na mkewe waliiandaa, ili wapige ela coz Ronda alshawah kuvimbishiana nao wrestlemania ilopita alpopandishwa na the rock uwanjan... Xo wameona waitumie kudraw attention ya mashabiki dats y wamemkorofisha kat angle
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Unajua mnatakiwa mfaham kitu kmoja, upiganaj ule c maigizo, but ile ni biashara xo lazma waandae stories before pambano( I mean bifu au bongo tunasema kiki). Hii inafanywa ili kuvuta ladha ya shabik kutazama pambano,,, but the fighting is real
  13. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Fatilia match zake za ufc,ana finishing ya kukaba mkono ka asuka,,anavunja sana mkono ukikaa vbaya,,,yupo skilled sana
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Exactly
  15. E

    JamiiForums Tanzania Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

    Ila nduguzangu kama unataka kuchek match zilizochangamka,angalia wanaopiganiaga crucial weight,,,yan wako sharp mno na wana akil za haraka xana
Back
Top Bottom