Recent content by Elianto

  1. E

    Basi la abiria kubwa linauzwa

    Basi kubwa lenye chassis ya Scania P94 230 na namba za usajili T112 BZU linauzwa, lina body ya Master fabricators kenya na lina uwezo wa kubeba abiria 61. Engine inazalisha horsepower 230. 8 speed gearbox na lina air suspension kwenye diff ya nyuma.Basi halina tatizo lolote unaweza kuja na fundi...
  2. E

    Natafuta laptop ya kununua yenye sifa hizi. (ni kwa ajili ya game la fifa 14)

    Mkuu unayenunua laptop kwaajili ya gaming nakushauri ungecheki pia hiyo laptop unayonunua ina graphics card kubwa kiasi gani na iwe dedicated graphics angalau yenye mb 500 mpaka gb 2 isiwe na graphics card ya intel itakuzingua tu, huo ushauri wangu tu kama mpenda pc games
  3. E

    Samsung Galaxy Clone s4 sokoni

    weka picha na uko wapi?
  4. E

    Nahitaji simu ila offer yangu ni sh100,000/=

    Toa laki na kumi nikupe samsung galaxy pocket ipo rooted tayari imekewa custom rom ya (android 4.2 jelly)
  5. E

    Natafuta simu ya kununua used

    Nina galaxy pocket na memory card ya gb1 unapata 110000/= 0753821988
  6. E

    Tunauza laptop na Pc

    Nipe model ya laptop za 450000 za Toshiba,Dell, Hp au Lenovo kama zipo, nataka mojawapo
  7. E

    Gamepad for FIFA13 PC game

    Tafuta duka la cobby electronics lipo geti la nyuma stadium ya Arusha utazipata
  8. E

    Msaada kuhusu aina laptop ya kununua

    Sawa mkuu Maboso, shukrani tena.
  9. E

    Msaada kuhusu aina laptop ya kununua

    Shukrani wakuu kwasababu nitakua nafanyia kazi kama image editing na kazi nyingine nadhani mini laptop haitanifaa, hapa cha muhimu niongeze hela nipate laptop nzuri zaidi kama mlivyonishauri.
  10. E

    Msaada kuhusu aina laptop ya kununua

    Sawa, sasa kwa hiyo hela niliyonayo naweza laptop ipi mpya na yenye specifications zipi.
  11. E

    Msaada kuhusu aina laptop ya kununua

    Wakuu nataka kununua laptop yenye specifications zifuatazo. Processor:core 2 duo Hard disk: 128-320gb Ram:2gb Graphics card: 128-500mb dvd writer,webcam,wi-fi,blueooth. Sasa nilikua naomba ushauri ninue laptop ya kampuni gani/model gani yenye hizo specifications na yenye sifa za uimara...
  12. E

    Nanunua motherbord za computer zilizo kufa.

    Nina dell optiplex gx240 imekufa motherboard nipo Arusha niWhatsApp 0753821988 if interested
  13. E

    Story za mabasi ya Tanzania na usafiri kwa njia ya basi.

    Kwa wale ambao tunapenda kuongelea usafiri wa mabasi ya Tanzania, kero tunapokua njiani kwenye mabasi na mabasi ya kisasa na ya zamani hapa tanzania unaweza kujiunga Facebook kwenye page inaitwa Tanzania Bound Buses link ni https://www.facebook.com/Tanzaniaboundbuses au Unaweza kujiunga na Group...
Back
Top Bottom