Mimi mwenyewe nimekomaa kama ww tena zaidi yako ,,,na hata chuo waligoma kunipa usajili mpaka nilipe ada ,,nikatumia akili na miundo mbinu mikubwa bila kuwa na msaaada sehemu yoyote lakini ,matumizi ya akili nyingi yakanipa maarifa nikapata hiyo milion moja nikalipia ada nikapata udahiri ,,then...