Recent content by Eliakim Mwangobola

  1. E

    JamiiForums Tanzania Chuo cha elimu ya biashara (CBE) kuazimisha miaka 50 tangu kianzishwe

    Nitakuwa nakupatieni up dates mara kwa mara
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Moravian na migogoro ya viongozi kuna nini nyuma ya pazia?

    Mboa Fumbo pia ni mfanya biashara na alianza biahara hata kabla haaiunga uchungaji miaka y tisnini
  3. E

    JamiiForums Tanzania Chuo cha elimu ya biashara (CBE) kuazimisha miaka 50 tangu kianzishwe

    Wewe ni Alumnae wetu karibu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Chuo cha elimu ya biashara (CBE) kuazimisha miaka 50 tangu kianzishwe

    Ni kweli katika Mpango mkakati wetu wa mwaka 2014/2015 tunategemea kuteleza kuannziswa kw digri a umahiri (Masters Degree)
  5. E

    JamiiForums Tanzania Chuo cha elimu ya biashara (CBE) kuazimisha miaka 50 tangu kianzishwe

    Wana jukwaa poleni na shughuli zenu za leo. Napenda kuwajulisehni kuwa Chuo chetu cha Elimu ya Biashara (CBE) kitatimiza miaka 50 tangu kianzishwe tarehe 25/01/2015. Chuo kimepanga kuzindua sherehe za kuazimisha miaka 50 tarehe 31/07/2014. Watu wote waliowahi kusoma CBE (CBE Alumnae) na...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Chuo Cha Elimu aa Biashara (CBE) kuzindua sherehe za kuadhimisha miaka 50 tangu kianzishwe

    Wana jukwaa poleni na shughuli zenu za leo. Napenda kuwajulisehni kuwa Chuo chetu cha Elimu ya Biashara (CBE) kitatimiza miaka 50 tangu kianzishwe tarehe 25/01/2015. Chuo kimepanga kuzindua sherehe za kuazimisha miaka 50 tarehe 31/07/2014. Watu wote waliowahi kusoma CBE (CBE Alumnae) na wengine...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe Taifa limefika hatua hii? Tazama uchaguzi wa wanafunzi wa CBE Mwanza

    Hakuna cha Umate mate, Udhibiti wa fedha katika chuo chetu uko juu chini ya professor makini Emanuel Mjema
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kung'ara na Kuanguka kwa Mhe. Zitto Kabwe -Cover Final Designed

    Kamuulize Mapalala, baada ya kuanguak kisiasa ni kwa nini umaarufu wake haujarudi hadi leo?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu habari zilizochapishwa kwa lengo la kuupotosha umma kuhusu chuo cha CBE watolewa

    Mkuu wa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema amesema kuwa habari zilizoandikwa na kuchapishwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya mitandao ya kijamii hapa nchini zililenga kukidhalilisha chuo na kuipotosha jamii kufuatia chuo hicho kuendelea kufanya...
Back
Top Bottom