• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by eliakeem

 1. eliakeem

  Hivi viwanda mfu mkoani Tanga ni mali

  Serikali ya mkoa kwa kushirikiana na Wizara Husika (wizara ya uwekezaji na ile ya viwanda na biashara), TIC na wadau wengine waje na sababu zilizopelekea kufa kwa hivi viwanda. Baada ya wapo waweke mkakati wa kuvihuisha viwanda hivi. Kinachosikitisha ni kuwa, miundombinu muhimu yote ipo...
 2. eliakeem

  Chinese probe finds coronavirus whistle-blower doctor was punished 'inappropriately'

  Siri kubwa ni kinga ya asili ambayo tunayo. Maana mpaka sasa waafrika waliokufa dunia nzima kwa ugonjwa huu sidhani hata wanafika 50 au 100. Lkn Italia usiku wa kuamkia tarehe 22 walikufa zaidi ya 800. Ila ni siri, usiseme kokote kuwa hatufi kwa haya mafua. maana ukisema hivyo, kwa jinsi...
 3. eliakeem

  Mapigano makali kati ya Zambia na Congo

  Ukitupia chanzo itanoga zaidi, au chanzo ni wewe mwenyewe kwa sababu ni shahidi kuona.
 4. eliakeem

  Chinese probe finds coronavirus whistle-blower doctor was punished 'inappropriately'

  Huu ugonjwa mpaka umeisha, tutashuhudia mengi. Italy, waziri mkuu kasema hawajui wafanye nini.
 5. eliakeem

  Chinese probe finds coronavirus whistle-blower doctor was punished 'inappropriately'

  Wanadhibiti ile mbaya. Ila sasa dunia inaanza kuangazia hawa jamaa jinsi walivyo na maendeleo ya haraka na endelevu. Kila mmoja anatamani awe kama wao au kuwa mshirika wao.
 6. eliakeem

  Chinese probe finds coronavirus whistle-blower doctor was punished 'inappropriately'

  Wachina, baada ya uchunguzi wamebaini ya kuwa yule Dk wao aliyekuwa mtu wa kwanza kutoa tahadhari ya ugonjwa huu, ambaye alikufa, alikamatwa na polisi isivyo haki na pasi na hatia.
 7. eliakeem

  Chinese probe finds coronavirus whistle-blower doctor was punished 'inappropriately'

  Wakawa kana kwamba hawamuelewi anachomaanisha.
 8. eliakeem

  Chinese probe finds coronavirus whistle-blower doctor was punished 'inappropriately'

  They created something that can chew everyone, even the one who created it. It's very sad to know that we have reached a point wich we can create something to create trouble for ourselves.
 9. eliakeem

  Norther Korean leader Kim Jong Un said African should learn how to practice their own Religions

  Sasa ukwel uliopo ni kuwa, wale waliokuwa wakiabudu kwenye misitu na milima watakubalika mbele za Mwenyezi Mungu kuliko wanafiki na wazinzi waliojazana katika nyakati hizi za kisasa.
 10. eliakeem

  Chinese probe finds coronavirus whistle-blower doctor was punished 'inappropriately'

  Chinese probe finds coronavirus whistle-blower doctor was punished 'inappropriately' Dr Li Wenliang, one of a group of doctors in Wuhan who shared posts on social media warning of a Sars-like virus spreading in the city in December, was reprimanded by police for sharing the information.PHOTO...
 11. eliakeem

  Mikataba Mibovu: Tullow shocks Government with Sh204bn Turkana oil bill

  Mnashituka haya, bado kuna mengi yenyewe. Tukisema nchi imeuzwa kwa wageni hawaelewi. Nina uhakika wakenya wa kizazi kijacho, watafutilia mbali makaburi yote ya viongozi wa sasa wakiongozwa na uhuru. Watapiga kabisa grader na kuweka barabara. Ili wasikumbukwe kabisa kwa ufedhuli waliofanya. :p :p :p
 12. eliakeem

  Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

  Halafu kubwa lao Mugabe alishawahi kuwaambia,sisi ni viumbe strongest duniani. Hatutishiki na kitu. :p :p :p
 13. eliakeem

  Nchi za Magharibi zazidi kushangazwa na kinga waliyokuwanayo WaAfrika dhidi ya virusi vya Corona

  Wametoka nao huko waliko toka, halijoto ya Afrika ni ngumu kwa vimelea hivyo kuishi. Lkn pia kinga ya miili yetu inahimili hayo maradhi. Na hilo si sasa tu tangu enzi na enzi. Miaka ya 1918, wengi walikufa kwa homa ya mafua ya kihispania, wakati watu wa bara la Afrika hawakuathirika kwa kiwango...
 14. eliakeem

  Wakenya walalamikia udhahifu wa nchi yao kufuatia majeshi ya Somalia kuvuka na kushambulia ndani ya Kenya

  Sasa msamaha wasomali waliomba wa nini!!!!!??
 15. eliakeem

  Ubalozi wa Marekani Kenya watoa tahadhari ya kuwepo kwa shambulio la Kigaidi Jijini Nairobi wakati wowote kuanzia sasa

  Siyo anielekeze hatua, aoneshe ugonjwa uko wapi. Ndiyo maana tunashindwa kuwa na imani naye. si ajabu tunamtafuta mchawi, kumbe ndiye awaye yote.
Top