Recent content by elia chongola

  1. E

    Ishara ya kifo imetimia, CCM imeng'oka leo rasmi kwenye medani za siasa Tanzania

    Tutaongea mengi sana mwaka huu.ila ikweli utajulikana hapo october najua unaendelea kujiriwadha kwa maneno ya hapa na pale ila jana tumewaonyesha ccm tupoooooo.Mapenzi ya bwana yatimizwe
  2. E

    Waraka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA; fanyeni haya...!

    Bab kubwa Dallai lama ukweli utakuweka huru
  3. E

    NEC: Fomu ya Urais iliyotolewa kwa ACT-Wazalendo lazima ijazwe na Kitila Mkumbo tu!

    Mbona bunda fomu ilijazwa na mshindi wa tatu badala ya mshindi wa kwanza?kwn haulijui hilo?Tuache uongo usiokuwa na tija ndg
  4. E

    Magufuli hakujiandaa kuwa rais, atatuangusha tu

    Wewe ni miongoni wa vijana wahongo niliowahi kuwasikia.Hivi kabla ya kupost ujinga kama huu huwa unautaratibu wa kuwasiliana na ubongo wako walau dk 10 nina mashaka na utashi kumbuka sisi sote tunafuatilia vyombo vya habari sasa unapopost jambo lako basi ni muhimu kufanya itafiti hata kama...
  5. E

    Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    Kwani wewe ulitakaje?maana humu kuna watu mmeumbwa kulalamika sijui nini?kuna wakati najiuliza kwani nini lengo la mtandao huu wa jamii.Yaani kuna watu wameumbwa hawana jema kila kitu ni siasa lete bus lako la kutoka japan sasa.Maana inafika mahali mnaboa
  6. E

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Kwani tatizo nini?yeye muziki ndiyo ajira yake wewe ulitakaje?jamani ndio democras hiyo ana haki ya kuchagua anapotaka.kama wewe ulivyochagua huko ulipo.Ukiona hivyo ana maslahi napo
  7. E

    Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

    Hilo kuna jamaa zangu fulani hawataki kulisikia wana hofu kura zinaweza kupungua
  8. E

    Ccm imewalea mpaka mmeitwa mawaziri leo mnahama? Mh mtakuja kwa magoti

    Wakati mwingine tuheshimu mawazo ya mtu hivi kwanini wewe kama ukweli fulani hautaki si ukae kimya usichangie?Maana imekuwa kawaida wengine mnadiriki hata kutoa kashfa kwa kiongozi mkubwa kichama dr slaa.Eti amefungiwa na wife wake.kweli hali hiyo ya kashfa zenu na matusi yenu huwa...
  9. E

    Lowassa kwa maono ya Le Mutuz!!!

    Le Mutuz nimeikubali sana research yako.sasa wale nyumbu waliopoteza mwelekeo hawatoweza kukuelewa
  10. E

    Upotoshaji wa William Malecela kuhusu msiba wa Mzee Kisumo

    Mungu ailaze roho ya marehem.mahali pema peponi.amina
Back
Top Bottom