Recent content by Elevenn

  1. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Toa mwongozo kama una sio kujipitiza ukicheka cheka
  2. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Wewe ndio uache ushirikina kushauri watu usichokijua
  3. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Mkuu wewe ndo umekuja na hiyo perception... Nilisema kuwa ukiweza kufanya sexual transmutation unaweza kufanya greater things... Sio kuwa inategemea sexual transmutation tu.. Wewe unachotafuta ni validity ya mawazo yako uchwara. Unakuja na mihemko yako tu hapa Kama hauna kitu cha kuchangia...
  4. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Yatasemwa mengi ila kuchapiwa pako pale pale... Mungu alisema don't put your trust on man. Kubalini ukweli kuwa kuchapiwa kupo, na ni kheri ukajiandaa Kisaikolojia na ukawa na msingi bora ya kuchukua Hatua isiyo leta changamoto baadae haswa afya ya akili na mengineyoo
  5. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Kama haujui kuhusu transmutation acha sio kuleta personal doubts..
  6. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

    Daah kwani haukutambua kuwa alikuwa anatumia dick kufikiria kwa wakati ule... Hapo shida sio yeye tena ni hisia zimemchukua.. Ni either umsamehe au umwache periodt.
  7. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Basi kama kuwa online ndo Kukesha mitandaoni basi unakosea sana Basi kama unakosa muda wa kuingia humu isiwe kigezo cha kuambia mtu akeshe au asikeshe hununulii mtu simu ama bando humu Sasa ile ni opinion ama ushauri uchwara?
  8. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    Sikusema kuwa ujimilikishe mawazo yangu, nilisema either ukubali au ukatae hilo ni jukumu lako maana maelezo ya kusemekana haya akisi uhalisia kamili Siwezi kukubali maana hayanifanyi nielewe ujinga ambao wengine wamemezeshwa.. Basi kama unahisi reasoning na meditation Zina namna bora ya...
  9. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Basi tuko pamoja katika hilo
  10. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Sawa sawa mkuu nimekuelewa POV yako Kwako wewe unaona hakuna njia wala process ya sexual transmutation bali ni kuacha mambo yatakayo I drain hiyo force na kuichannel kupitia kufanya mambo mengine positive kama kufocus na kwenye activities zitakazo kupa positive outcomes. Hakika ni sahihi...
  11. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Nilisha wahi kusoma uzi wake wa psychic powers hapo nyuma kidogo so nadhani anaweza kuwa na ujuzi wa haya maswala pia..
  12. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Nashukuru mkuu🙏
  13. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Haya bwana asante kwa ushauri ila sio kile Natafuta.
  14. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Una utimamu wa akili katika kutype hayo maandishi au ndo wale wale trash talkers?
  15. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Guys, Naomba anaye jua kuhusu sexual transmutation a nisaidie.

    Nashukuru, nasubiri mwongozo
Back
Top Bottom