Recent content by ELEPHANT MAN

  1. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa Graduate wote hapa Tanzania

    Tafadhali mjibu maswali yake kiongozi. Uelewa tuna-tofautiana. Hayo maswali ni 'valid'. Ubishi hauna maana. Asanteni.
  2. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi tafadhali: Degree with Honors ina maana gani?

    Huo ni ukilaza. We badala ya kumuuliza aliyekupa....unamuuliza utakaye jisifia kwake. Labda ni hons kwa kupiga shuttle pori sana, RB sana, na kukisifu chuo chako sana.
  3. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania mkuu shule ya sekondary igoma - mwanza hana sifa za kuongoza shule

    Tuna-ufahamu sasa...atachukuliwa hatua stahiki.
  4. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Kwanini unakimbia?
  5. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Walimu waadhibiwe

    Waalimu Juu!
  6. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Opportunity for English Teachers to the USA

    I'm a qualified one...
  7. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Tamisemi inamaana sisi tuliokosa ajira si watanzania?

    Tuwe tuna-vumiliana. Binadamu hatuja-kamilika... Pole kwa kutopangiwa. Tuna-omba Mungu awasaidie. SOLIDATY FOREVER!
  8. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Kati ya SEKOMU na UDSM ni kipi chuo bora katika kuandaa wanafunzi walioiva katika masomo

    Unafananisha usafiri wa ndege(UDSM) cha 4 Afrika na guta(SEKOMU) kitakuwa cha laki 9... Thanks!
  9. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya mmejiandaaje kuripoti vituo mtakavyopangiwa?

    Taarifa muhimu wadau... Asante!
  10. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    dah chaka kama hakuna huduma za kijamii ni nouma....!
  11. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    vipi ulipata taarifa kuhusu Bagamoyo?
  12. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Mwenye Ujuvi na Bagamoyo (kote mjini na vijijini), msaada tafadhali! Idara-Sekondari...
  13. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta weekend hii-makalio feki- very serious

    Kalio for stimulation..mzuka yaani aise!
  14. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Msomi Mtoa Rushwa

    Jamani eti nasikia waalimu wanatoa rushwa ili wapangiwe mjini...sasa hawa watawafundisha watoto nini? Jamani, PCCB kazi kwenu saaaaaasaaaaa?
  15. ELEPHANT MAN

    JamiiForums Tanzania Wale wa pwani twenzetu

    Yeah wilaya Thobias...
Back
Top Bottom