Mm nadhani kukosoa wakati huu wa kampeni ni suala la kitoto. Linalofaa ni kutoa mapendekezo ya kuimprove situation.
. kwa maana ya how we could have done better
Sasa ukijua lowassa anahusika na wizi kwenye deal ya richmond, kwanini ulishindwa kumuadabisha? Kwani ulishindwa kumuadabisha chenge. Kifupi ni kusema kwamba chama chenu kina operate kama gangsters, genge la
Haaa haaa blog la kinana! Kwanini mumekataa kauli ya mbowe kuhusu kuundwa jopo la majaji kuchunguza bombing kwenye kanisa la arusha? Ugaidi upigwe vita na kila mtu, lakini mbona uamsho walisema wana video ya clip ya waliochoma kanisa zanzibar?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.