Recent content by El malic

  1. El malic

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua idadi ya smart gin, double kick, konyagi kwa box zinakaa ngapi na bei zake kwa jumla na rejareja

    Kwa baadhi nijuazo na mkoa nilipo Konyagi ndogo 76,000 24 box Konyagi kati 114,500 16 box Konyagi kubwa 122,000 12 box 5 Gin 44,000 24 box Smart gin 26,000 15 box Master gin 52,000 30 box K vant ndogo 77,500 24 box K vant kubwa 102,000 12 box
  2. El malic

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Wakuu ivi wanaoitwa maendeleo ya jamii ni wale wa degree kutoka database??
  3. El malic

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera kwa waliopata. naona maafisa maendeleo wameanza kutukumbuka tena tuzidishe maombi
  4. El malic

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna pdf IT mtu wetu. Hongera kwa waliopata wengine tuendelee na maombi
Back
Top Bottom