Vipaji, elimu na kadhalika viambatane na uwezo wa siasa (ushawishi, uzoefu, charisma etc.), simtetei yoyote kati yao, ila hata hao waliosoma na kuingia straight bungeni wapo waliomudu, kina Silinde, Zitto, Mdee, muhimu ni uwezo tu, msukuma ukiacha lugha yake ya ucheshi mara nyingi amechangia...