El Maestro
Senior Member
- Apr 12, 2020
- 178
- 126
Hio Beberu sio ya mnyama, Beberu inasimama kwa Imperialists, ambao ki ukwrli bado wapo, tumetoks kwenye imperialism to neo-imperialism, mapambano yanaendeleaHawa World Bank sasa ni wadau rasmi wa maendeleo. Naamini lile neno lenye mrengo wa ubaguzi wa rangi - ukaburu (i.e. Mabeberu) limeachwa rasmi. Nafikiria siku rais yeyote wa Ulaya au Marekani akiamua kutuita waafrika kwa jina la mnyama yeyote (e.g. nguruwe, nyani etc) wakati wa mkutano wa hadhara sijui itakuwaje!