Recent content by El Che

  1. E

    Tindu lisu inatakiwa apumzishwe ndani kwa muda

    Ni kweli waasisi wa taifa letu walifanyakazi. Lakini bado walikuwa binadamu. Wao hawakuwa juu ya ubinadamu. Kudhani kuwa kuwakosoa waasisi na uhaini kama Tofyo anavyodhani si sahihi na ni fikira za kijima. Hatuwezi kushikiria waliyosema waasisi kama 'DOGMA'. Hii itakuwa kwanza kuto kumuenzi...
  2. E

    Kafulila amjibu mwenyekiti wa CCM

    Big up Mhe Kafulila, Umeema kweli. CCM wakibezaukweli huu shauri yao! Ila (CCM) wakumbuke kuwa sikumoja watakua Chama cha Upinzani. Wakitengeneza katiba ya mbovu itawaumiza wenyewe baadae na kutokana na uchache wao watashindwa kuibadili!
  3. E

    Mwigulu Nchemba ahutubia bunge la ACPC na EU, apinga ndoa jinsia moja. Bunge lazizima

    Hata mimi naungana na Taswira anayesema iwekwe clip ya video. Mwigulu ninayesikia,siwezi kuyaamini haya mpaka nione video!! I think this is a mere publicity stunt! Ni heri niitwe Tomaso
  4. E

    Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    The Grand Western project has always been to destroy and unmake our history. Our struggle is a struggle against the war on our collective memory and history as people. As Lumumba one day 'our history will be written by our own people, but not by the oppressor'. That task we must accomplish...
Back
Top Bottom