Recent content by el chappo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Magonjwa hayaishi toka utotoni

    I can feel ur pain. Pole sana. Jaribu kutumia vyakula vinavyoongeza immunity ya mwili. Again pole sana
  2. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    October sio mbali. Leo Dr. Mnamtukana ana uchu wa madaraka? Huyu mgeni je?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Sehemu gani ninaweza Pata huduma hii
  4. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Kwa mda gani umeacha? Na changes ulizopata kama hutojali
  5. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Nashkuru nitafika hapo pia. Asante
  6. E

    JamiiForums Tanzania Bure: Fursa ya mwaka, pima afya yako

    Tunasubiri feedback Kaka mkubwa
  7. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Nashkuru sana wana JF. Nimesimama punyeto kwa sasa na niko kwenye kupunguza uzito. Though am taking babysteps inshallah nitafanikiwa. Tuendelee kujengana. Vp mlioacha mkitueleza mafanikio yenu itatutia hamasa sisi tulio njiani
  8. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Vipi Kuna mabadiliko yoyote toka umeacha?
  9. E

    JamiiForums Tanzania R.I.P young billionea Jimmy Mcmelle, daima tutakukumbuka mpendwa wetu

    Rest in peace. Gone too soon
  10. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Sikufahamu hilo dah
  11. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Asante bro kwa ushauri. Naomba unisaidie list ya vyakula vinavyo stimulate male hormones naturally
  12. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Ndio napiga punyeto ila sishindwi kuacha. Nina kilo 108 urefu wangu ni 6.3 ft. Hapana sio mtu wa mazoezi Kaka. Thanks for your concern
  13. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Bado sizipati ndoto za kufanya mapenzi
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha ushoga (uhanithi)?

    Sasa kama huyu alikosa upungufu wa testosterone si atafute supplements za kuongeza hormones zake arudi kama Kawa
  15. E

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni upungufu wa hormones za kiume?

    Niko over weight japo sijafikia obesity. Kuhusu ndoto huwa sizipati kabisa. Asante
Back
Top Bottom