Recent content by El Chapito

  1. El Chapito

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Duh hii statement uiotoa ninzito sana kwake
  2. El Chapito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    For sure huyu kocha wao Naiglessman mbinu zake haziendani na namna Bayern Munich asili ya uchezaji wake ilivyo naona ni vile tu attributes na quality za baadhi ya players zinambeba
  3. El Chapito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Raphinha is a good player ni vile ana kosa utulivu tu kutokana na pressure ya kutaka kuonesha kitu kwa wana Culers .
  4. El Chapito

    Mashindano ya kimataifa yatumike kama jukwaa la biashara kwa vilabu vyetu

    MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mashindano ya Klabu Bingwa tutakua tukiwakilishwa na vilabu vya Simba , Yanga na...
  5. El Chapito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Natumai mechi yetu ya UEFA dhidi ya Victoria Pizen itakua mechi bora sana . Option za Tactician Xavi kuelekea mechi hii ndio zitaakisi namna gani tunakabiliana na timu za kwenye kundi letu hili linalotazamwa kama kundi la kifo.
  6. El Chapito

    Vilabu vya Tanzania mnaponunua wachezaji toka ulaya msajiri wachezaji walio na account verified instagram na twitter

    Sometimes ili usujiaibishe wewe na na ukoo wako epuka kuanzisha thread zisizo na maana 📌
  7. El Chapito

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Ni maandalizi sahihi kabisa kwa ajili ya Timu . Haya mashindano yana ushindani ndani yake nimekua nikifuatilia usajili wa timu zote izo wapo vizuri hasa Al Hilal chini ya Florent Ibenge wamesajili san quality na young players.
  8. El Chapito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Next revenge ni kwa BAYERN MUNICH siku yoyote tutakayompata tumkanyagee wee mpaka bas katudhalilishana nae yule [emoji28] #vivabarça viva catalunya
  9. El Chapito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Aubameyang entering el classico scoresheets [emoji93]
  10. El Chapito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Ndo ivo sasa tuna auba alf benchi kuna de jong[emoji28] maisha hàya tuyaache tu
  11. El Chapito

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Cjui ila hawa madridista katika midfield battle leo kuwashinda ni miujiza yan
  12. El Chapito

    Paris Saint-Germain Special Thread

    For sure jana neymar na maquirnhos wametuuza kabisa mambo ya hovyo wamefanya
Back
Top Bottom