Recent content by EKYONABOINE

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mgombea wa CCM Arusha atembelea vituo vya kujiandikisha

    Umeona! yaani apo umesema ukweli wanaarusha hawako tiyali kuirudisha ccm madarakan ilo wasahau kabisa mwambie ahache kujiangaisha bure.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hatari mchawi akamatwa akitafuna mtoto!

    Kwa hiyo uyo mtoto wazazi wake wanasemaje pia uyo mchawi ni wa maeneo gan?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums' EXCLUSIVE interview: Ana kwa ana na Balozi Khamis Kagasheki (Shiriki kwa kutoa Maswali)

    Mimi naomba atwambie chanzo cha mgogoro wake na Anatori Amani kilikuwa ni kipi? Pia kwanini hadi sasa kwanini stendi ya mkoa haijatengenezwa, tatizo nini?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Gwajima apandishwa Mahakamani Kisutu; aachiwa kwa dhamana na kesi kupigwa kalenda!

    Umeona kijana umesema kweli kama wangelikuwa wanapambana na ufisadi kama wanavyopambana na Gwajima Tanzania ingekuwa kama south Afrika lakn kwa njia hii ya kuwaminya watetez wa haman hatutafika jamen, alafu Gwajima alimpa mabango Pengo na uyu anaemshitaki anaingiaje tena? nisaidien wanajamii f.
Back
Top Bottom