Recent content by Ekotite selfie

  1. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Umeme hakuna au?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Kama n kweli hilo Basi bankmoon hatasahau kitakachomtokea Maana atapigwa pesa yule na mmasai yule hata mirad yote ya UN itakwama na hapo ndipo itakuwa mwsho wawatanzania kufanya kaz UN
  3. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Maelezo yote hayo yanadhihirisha kwamba hakustahili hio tuzo Lakin achen apewe tu imfariji kidogo apunguze stress ya pesa aliyopigwa na mbowe
  4. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Mzee hana jipya saiv Amebaki kuwa mtu wa kusubiri misiba, Vituzo ambavyo vilitakiwa kugombewa na wakina rais wa wasafi Utashangaa amepewa hadi tuzo ya kilimanjaro music award maana n msanii mzuri tu poor kibaraka lowasa Endelea kupewa vtuzo na mabwana wa magharibi
  5. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Nice reasoning
  6. E

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Kuhusu zanzibar subiri tarehe ya uchaguz Haina haja ta utatuz
Back
Top Bottom