Recent content by EJL

  1. E

    BRT watumishi wanaihujumu?

    Management ya mradi wa mabasi yaendayo kwa Kasi BRT katika kutekeleza mpango wa 'maboresho', na kinachoonekana kuimarisha mfumo wa ukusanyaji mapato wamekuja na card. Wazo jema kabisa kwani pia hupunguza muda wa mteja kukaa foleni kununua tiketi. Lakini waliopanga bei ya card hawakuzingatia...
  2. E

    Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu: Tukiongeza haya tutazuia maambukizi zaidi

    Mh. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. K.Majaliwa (MB) Binafsi ninatambua jitihada kubwa sana ambazo Serikali imekuwa ikifanya tangu kutokea kwa mlipuko wa COVID-19 duniani na hata baada ya kuanza kupata kesi hapa nchini. Serikali chini ya uratibu wako ukishirikiana na Mh. Ummy...
  3. E

    Makonda ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu na hatupaswi kumpuuza kwa upuuzi wake hata kama anatumwa

    Sio tu suala la kutamka hadharani taarifa za mgonjwa; bali namna alivyomtaka! Katikati ya kashfa na dharau yake kwa Mh. Mbowe anapoingiza suala la ugonjwa wa mwanae ni sawa na kusema amefurahi mtoto huyo kuugua. Anyway; apuuzwe tu kwa upuuzi wake!
  4. E

    Makonda ni mpuuzi kama wapuuzi wengine tu na hatupaswi kumpuuza kwa upuuzi wake hata kama anatumwa

    Watanzania tumpuuze Makonda kabisa kabisa! Ukitaka kujua huyu kijana anastahili anapaswa kupuuzwa kabisa (hasa kwa kuwa alichoahidi Katibu Mkuu kumrudisha shuleni akasome kutotendewa kazi). Kwa nini apuuzwe? 1. Hajui majukumu yake kama mkuu wa mkoa, ndio maana kila wakati anakurupuka na kufanya...
  5. E

    Wabunge Lema na Nassari watoa ushahidi wa DC na Mkurugenzi Arumeru walivyowarubuni Madiwani 10 wa CHADEMA waliohamia CCM

    Kwa uamuzi wa Mh. Lema na Nassari kupeleka video hizi (ushahidi madhubuti) kwa waandishi wa habari na umma badala ya kuupeleka kwa TAKUKURU au Polisi wako sahihi kabisa. Usahihi wao unatokana na hali halisi ya mazingira na utendaji wa vyombo vya dola tulivyonavyo. Utendaji wa TAKUKURU ndio...
  6. E

    Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu kurudishwa kwa gari la KUB alilokuwa anatumia Mhe. Mbowe, yasema hajanyang'anywa

    Mengine tuyaachage tu! .....kupasuka imepasuka.........inawayawawa kama mlevi na mzigo wa dhambi yake umeilemea!!!!!
  7. E

    SPIKA WA BUNGE: Kiti kinachangia busara bungeni

    Kwa Spika wa bunge, naibu na wenyeviti wabunge. Kwa miaka kadhaa sasa kumekuwa na rabsha Mara kadhaa wakati wa vikao vya bunge na Mara zote umeamuru kuondolewa kwa nguvu mbunge (ambaye wewe umeona ni tatizo). Nimekuwa mfuatiliaji wa vikao vya bunge (tangu bunge la chama kimoja). Ni wazi wako...
  8. E

    CHADEMA tunawajibika kumuomba radhi Rais Magufuli kama tunataka kufika salama 2020

    Kama chama chako (CHADEMA) kuonesha serikali mapungufu yake ni kosa , basi Nina shaka na uelewa wako kuhusu siasa za vyama vingi. Pili yako mazuri anayoyafanya JMP na pia ziko kasoro ambazo wasipopatikana wa kumueleza /kumkosoa ataharibu mema anayofanya. CHADEMA na vyama vingine vya siasa...
  9. E

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    .ukweli hata kwa mh. LEMA hakuna kesi ndio maana wanapoteza Muda kuzuia dhamana badala Ya kuruhusu mahakama iendelee kusikiliza kesi. Haya mashtaka Ya kumfurahisha bwana mkubwa ni ngumu kushinda mahakamani
  10. E

    Askofu Dkt. Josephat Gwajima, awasili Polisi Kati kuitikia wito wa DC Makonda

    Matokeo Ya kidato cha 4 yamethibitisha kuporomoka kwa elimu. Walimu wanataka kugoma. Police wanatuhumiwa kuua mtu kwa kipigo Mbezi kwa Yusufu. Taarifa Ya waziri inasema tuna nakisi Ya bajeti hivyo hadi sasa (karibu tunaanza robo Ya 4 Ya Mwaka wa fedha) fedha za miradi ya maendeleo...
  11. E

    Mbunge Upendo Peneza(CHADEMA) akamatwa Geita mjini, aachiwa kwa dhamana

    Kuna mambo yanafanywa na jeshi la Police wala hayana uhusiano kabisa na amri za Magufuli. Ukweli ni kwamba wameshindwa kutimiza majukumu na wajibu wao wa msingi na kwa kuwa awamu hii ni Ya kufanya show zaidi Kwenye media basi kila wakiona kiongozi wa Chama cha Upinzani wanatafuta Kiki!!!
  12. E

    Kweli Max Ndiye Yeye: Kwanini Sina Hofu

    Halafu watzed wakihoji wanakamatwa! Hivi siku hizi Ikulu ndio ofisi Ya Chama? Yaani pamoja na majengo yote mliyopora bado tu hayatoshi hasi mwende kufanyia vikao ikulu?? Aibu!!
  13. E

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Jamaa wanapata tabu sana, ni rahisi sana sana kuwa fumba kinyvwa watzed. Ama washughulikie kero zote, waweke uwazi na kutenda haki. Ama wakiona hilo hawawezi, basi wapeleke haraka muswada wa marekebisho ya katiba. Waondoe "haki na uhuru wa kupata taarifa", uhuru wa kutoa maoni. Kisha watunge...
  14. E

    Precision air yatelekeza abiria JNIA

    Niko airport (JNIA) Muda huu tuko abiria wengi ambao tulipaswa kusafiri na Precision air leo asubuhi saa 12.00 na wengine jioni hii. Usiku saa 5 nilipigiwa simu kwa namba 225530100 kuwa ndege ina tatizo hivyo abiria tumehishiwa Fastjet itakayoondoka saa 12 jioni leo. Mie nakwenda Bukoba...
  15. E

    Waziri Ndalichako awatimua Chuo walimu wa mafunzo waliompiga mwanafunzi shule ya Kutwa Mbeya

    Safi sana mama Ndalichako! Hivi hawa wakiachwa hadi waajiriwe si watafanya watoto wachukie shule??? EL
Back
Top Bottom