Recent content by eherrychriss

  1. E

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Moshi lipo eneo wanaita MBWAARUKI
  2. E

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Haihitaji kuwa na elimu Kuubwa kufikiri, hebu angalia safu kubwa aliyonayo JK ya wabunge wa chama tawala yaani CCM ambao kikatiba hao ndio haswa waliotakiwa kuteuliwa kuwa mawaziri, namaanisha miongoni mwao. Lakini imembidi raisi ateue wabunge wengine na hapo hapo kuwapa nafasi za uwaziri...
  3. E

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    " huyu bwana kauwawa kwa kuchoma kisu, mida ya saa kumi hivi ameletwa hapa Hospitali ya Regency na amefia hapa due to bleeding na ndipo tukampeleka Muhimuli kuhifadhi mwili. Poleni washabiki wake
  4. E

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Kachomwa kisu na aliletwa hapa regency mida ya saa kumi na akafariki hapa. Ndipo wakapeleka maiti MMC
Back
Top Bottom