Recent content by egrishas

  1. E

    JamiiForums Tanzania Wanaume kwanini mkimaliza kufanya mapenzi mnakimbilia kunywa maji?

    Unasema una tu zidi kwenye 6*6 sio kweli hebu jiulize kwenye show ya kibabe kati ya mwanaume na mwanamke nani anaye uongoza mchezo na kujituma kwa 100% alafu ukisha jua hilo utakuwa kimya most of the time wanaume Wana poteza nguvu sana Wana sayansi Wana sema mwanaume akitoa bao lake moja ni sawa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ya kumuomba msamaha mpenzi wako?

    Man nime omba msamaha vya kutosha lakini imeshindikana nime jishusha hadi point ya mwisho lakini imekuwa ngumu kwa upande wake na Nina mpenda kweli na sitaki kumpoteza
  3. E

    JamiiForums Tanzania Njia gani nzuri ya kumuomba msamaha mpenzi wako?

    Naomba mnisaidie ni njia gani ya kumuomba msamaha mpenzi wako ukiwa ume mkosea kupita kiasi
  4. E

    JamiiForums Tanzania IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    10+5*2 10+(5*2) 10+(10) 10+10= 20
  5. E

    JamiiForums Tanzania Natamani kupenda tena

    Mh kwani ww una itaji mwanaume mwenye sifa zipo ili uweze kumkubali?? Sent from my TECNO DP7CPRO using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom