Kutoka nje sio idea nzuri,jaribuni kwenda kwa wataalamu wa afya ya uzazi wa akina mama(Gynacologist) mpatiwe vipimo na ushauri kama mmoja wenu ana tatizo.Binafsi na mke wangu tulikaa miaka 6 bila mtoto ila mwaka jana mwishoni tulijaaliwa mtoto wa kiume. Msiache kumwomba mungu nae atawapa kwa...
Uchakachuaji haukuwa kwenye vituo vy Kupigia kura(ambako ndio prime target ya observers)..uchakachuaji ulitokea kwenye kujumlisha kura tena electronically...ambapo observers hawakuwa na access napo.
Zoezi la upigaji kura lilikuwa fair kabisa..na observers walichoripoti kilikuwa sahihi..
Sent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.