Recent content by Egoinya

  1. E

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Samia alisema Simiyu kwamba uchumi wetu ni bora kuliko wa ulaya na Marekani,,,alitisha sana.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Sasa tukupime kwa kipi zuzu!? Bongo inachoweza ni kuwania ubingwa wa siasa chafu na uchawa tu!?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Na kufanikiwa tunafanikiwa/tunabarikuliwa katika angle zote elimu, biashara ,uongozi na kila kitu,,sisi ndiyo tunaoujua ukweli wa bibilia na hicho unachokijua tuliamua ukijue ,,yapo mengi hatujakufunulia
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Lini mtakubali kupitwa na Kenya!? Kenya anawazidi kwenye kila kitu GDP,,Per cap/income ,,miundombinu,,biashara na exposure
  5. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Mawinga milion 9 kariakoo pekee
  6. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Tumerogwa boss
  7. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Ewe Kenya utatuburuza mpaka lini?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Hiyo haiwezekani bing Je uchumi wa Kenya na Tz upi uko juu naona mambo ya sarafu ndo mnajifichia
  9. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Kuilazimisha serikali kufuta finance bill mbovu ilikuwq ni ishara ya ukomavu wa wakenyq,,,haiwezekqniMhaiwezekqni
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Je uchumi wetu na kenya upi bóra!?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Hivi hata TEHAMA unajua maana yake au majanga,, Kenya inasomwa kwa vitendo katika shule za umma wakati bongo labda private school za bei ghari sana,,tofauti na hapo mpaka ufike chuo kikuuu napo hawafundishi ni maajabu unakutana na graduate wa bongo hajui kutumia kompyuta na hajawahi kumiliki...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Ng'ombe wa chama unasemaje!? Utwambie uchumi upi mnono kati ya Kenya na Tz alafu uje na mambo ya sarafu. Ukitokq hapo eleza sekta zinazojenga thamani ya sarafu hizo unatokana na nini!? Kama ni viwanda je,tz tunaizidi Kenya!? Kama ni utalii je,bongo tunaizidi Kenya!? Kama ni ubunifu je,bongo...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    We kweli Uvccm wakati Kenya mtoto anasoma Tehama kwa vitendo kuanzia primary school bingo unakutana nayo University tena kwa mbaaali!
  14. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Tz tulikuwa na viwanda kipindi cha Nyerere je,vilikufaje!? ni akili ndogo ya wabongo,,, kuhusu sarafu nimekuuliza kuhusu tsh vs ksh ipi inaaminika zaidi ukiachilia mbali dola
Back
Top Bottom