Ndugu zangu wana JF. Mambo vipi?
Mimi ni Mhitimu wa Chuo miaka mitatu nyuma, baada ya kuhitimu niliamua kurudi mkoani kwetu kupampana ila nikatoka kapa. Kwa hiyo nimeamua kurudi Dar es Salaam mwezi huu.
Naomba ushauri wenu, ni wapi naweza jichanganya kila siku ili niweze japo kupata mkate...
Habari za wakati huu wanaJF hususani hili jukwaa la biashara na uchumi.
Mimi naitwa Egtone Emily (25yrs) mhitimu wa chuo kikuu cha Dodoma (shahada ya sheria).
Nahitaji kuanzisha biashara ya uji na maziwa hapa kahama.
Hivyo sasa naomba ushauri juu ya biashara hii na mambo ya kuzingatia yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.