Baada ya kufuatilia kwa ukaribu mlolongo wa kesi na maswali na majibu kutoka mahakamani, ni wazi kuwa hii ni kesi dhidi ya 'Kikwete na Mahalu',sasa nashindwa kuelewa walitofautiana nini ama walishindwana katika 'deal'?? Na hivi kwanini huyu Rais wetu ana 'visasi' sana?, ni wangapi wanahusishwa...