Recent content by efraim

  1. efraim

    JamiiForums Tanzania Jusa amvulia kofia Tundu Lissu

    mmoja wa watanzania ambao wapo vizuri sana, so smart tatizo utawala uliopo unajaribu kumuona hafai....ni tofauti na hakina silinde wanaofanya cheap politics
  2. efraim

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Serikali moja ndo utakuwa muungano wa kweli, ikishindikana basi serikali 3...kwani Tanzania ilitokana na nchi mbili zilizo huru so zinaitajikana kuonekana zote au kuwa na nchi moja, kuliko sasa Tanganyika haionekani wakati Zanzibar inaonekana
  3. efraim

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji: Video ya PNC akimuomba msamaha Ostaz Juma na Musoma

    dogo nae ajitambui thamani yake
  4. efraim

    JamiiForums Tanzania Haki Sawa: Mzigo Mpya toka Bongo Records

    nyccccc
Back
Top Bottom