Recent content by EFG

  1. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Ualimu Sekondari (Masomo ya Chemistry & Information Communication Technology {ICT/TEHAMA})

    Poleni na majukumu wakuu. Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta. Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kufurahia sikukuu Moshi

    Habari wakuu .. Nauliza kwa wenyeji wa moshi au wenye uzoefu. Ni sehemu gani nzuri ya kufurahi na kuenjoy Moshi Ahsanteni
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kupokea mzigo kutoka AliExpress

    Nishachukua mzigo mkuu,kumbe ulikua ushafika lakini sms hawajatuma wala kupiga simu.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kupokea mzigo kutoka AliExpress

    Kwa hiyo hapo nisubiri mpaka wanipigie simu? Kilangi masanja
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kupokea mzigo kutoka AliExpress

    sijatumia free shipping
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kupokea mzigo kutoka AliExpress

    sawa mkuu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kupokea mzigo kutoka AliExpress

    sawa mkuu na hiyo tracking number ni ipi?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kupokea mzigo kutoka AliExpress

  9. E

    JamiiForums Tanzania Kupokea mzigo kutoka AliExpress

    Nipo Moshi. na Kwenye tracking inaonesha mzigo umefika moshi
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kupokea mzigo kutoka AliExpress

    Hiyo notification nimeona katika akaunti yangu ya AliExpress. Je? kwa maana hiyo naweza kwenda kupokea parcel yangu posta? Kwa ambao mshawahi kununua vitu online naomba mnishauri. Natakiwa nifanyeje hapo.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale itel A24 inauzwa

    65,000/=
  12. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale itel A24 inauzwa

    65,000/=
  13. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale itel A24 inauzwa

    65,000/=
  14. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale itel A24 inauzwa

    itel A24 inauzwa, Simu haina shida yoyote, imetumika wiki 3 tu, Nakupa na earphone na charger yake Bei 65,000/=
  15. E

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Huawei Y9 Prime

    NOI NOI
Back
Top Bottom