Recent content by efath

  1. E

    Uzi maalum kwa ajili ya wanaotafuta na wanaopangisha nyumba

    Natafuta chumba na sebule maeneo ya Yombo - buza. Sitaki pawe na wapangaji wengi, angalau wapangaji wawe wa wili au wa tatu. Mazingira masafi, pasiwe na madibwi ya maji maji.
  2. E

    Hivi kutolewa bikra mpaka damu itoke?

    Dam lazima. Kama haijatoka ujue aliyeingia hhajafanikiwa kuvunja dafu!!!! Kaishia juu tuu.
  3. E

    Epuka makosa haya unapoandika CV yako (Curriculum Vitae)

    Asante kwa maelekezo maana kwenye suala la Cv kweli huwa ni changamoto ya vijana wengi.
  4. E

    Natafuta kazi

    Kazi ni kazi tu sio mpaka uisomee! Cha msingi ni uzoefu.
Back
Top Bottom