1)Tatizo sio mwezi mmoja tatizo wapangaji ni wasumbufu ikifika mwisho wa mwezi ndiyo maana mwenye nyumba anaona bora miezi kadhaa tupunguze kutafutana
2)husaidia kupata ela nyingi kidogo ambayo anaweza kufanya jambo lake la maana au kutatua shida yake
Wapo ndani ya hifadhi ya barabara wamegeuza kijiwe cha bodaboda na kukamata bodaboda wengine wanaopita na kuwatoza faini wakishinikiza kuwa huruhusiwi kubeba abiria eneo hilo kama haupo kwenye chama chao ambacho ni kama kukoba wakati hakuna sheria inayoruhusu kuanzisha kijiwe au stendi ndani ya...
Barabara ni mbovu sana na inafikia hatua mvua ikinyesha kila mtu anajipangia bei anayotaka yeye
Swala la jimbo la ukonga ni kama serikali imeamua kulisusa jimbo inabidi viongozi waliangalie hili swala maana hata kuelekea hospitali ya Amana waliyoijenga kivule ni ngumu kwenda kulingana na ubovu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.