Recent content by EdygarMassawe

  1. EdygarMassawe

    JamiiForums Rais Magufuli aagiza Wajumbe wa NEC kusafiri bure na ndege ya ATCL iliyokuwa inashikiliwa Canada bure kurejea Dar es Salaam

    Rais John Magufuli ameagiza wajumbe wa NEC ya CCM wapande bure Bombardier kutoka Mwanza kwenda Dar as Salaam na Zanzibar ikiwa sehemu ya majaribio ya ndege hiyo inayowasili leo katika uwanja wa ndege wa Mwanza. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. EdygarMassawe

    JamiiForums Ushauri wa Wikiendi

    Leo wikiendi hakuna kulala. Usiendekeze usingizi. Ukifa utalala sana kaburini mpaka mwili utoke wadudu. Wakati wa kukesha na kula bata ndio huu huu ukiwa hai'. Ushauri wa Mshauri wangu wa Masuala ya Kipumbafu, Anasa na Starehe Sent using Jamii Forums mobile app
  3. EdygarMassawe

    JamiiForums Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

    KAULI YA MH MBOWE JANA TAREHE 12 DECEMBER 2019 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. EdygarMassawe

    JamiiForums Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

    Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa. #NoHateNoFear Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom