Recent content by Edwyne

  1. Edwyne

    Msaada napata maumivu ya kuuma na kukereketa kwenye koo

    Asante ntajaribu kufanya hivyo
  2. Edwyne

    Msaada napata maumivu ya kuuma na kukereketa kwenye koo

    Wanajamvi nimekuwa nikipata maumivu kwenye koo zaidi ya wiki sasa nimejaribu kutumia Ampclox lakini maumivu bado yameendelea kuwepo.
  3. Edwyne

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Nepi akil una ww unadhan watu wot wanakua maofixn mda uo ooooh maskin nepi una akil za kuangalizia
  4. Edwyne

    mashine yangu inachukua mda mrefu kuwaka na hapo mwanzo aikua ivo je nifanyaje

    seeemz umekosa kaz kam post umeshidw kutatua fanya yako cio kila kitu uonekane umechangia afu unachangia shudu jieshim@ zogwale
  5. Edwyne

    eti kuna madhara yoyote yatokanayo kwa kupend kula mayai ya kuku wa kizungu

    hahaaaahaaaaaaaaaa...................................................
  6. Edwyne

    eti kuna madhara yoyote yatokanayo kwa kupend kula mayai ya kuku wa kizungu

    sababu uku mtaani kuna tetesi wanasema eti co vizuri
  7. Edwyne

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    msaada ni mwaka wa pili huu nmejarbu daw mbalimbli ila imeshindkana yani adi ngozi imebadlika rangi
  8. Edwyne

    habari

    msaada kweny tuta nna modem ya ZTE lakini imeshindkan kusoma kwenye PC yangu DELL inpiron yenye window 7
Back
Top Bottom