Recent content by EDWIN CLEOPHACE

  1. E

    Hayawi hayawi yamekuwa form v selection hapaa!!!!

    nashukuru sana mi natokea mkoa Kagera, bukoba (v), kata Mikoni kijiji rutete
  2. E

    Wanaoifahamu Nyarubanda high school(kigoma)

    Wakuu naomba mnifahamishe kuhusu nyarubanda high schl ya kigoma mazingira kimasomo yanaridhisha?
  3. E

    Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

    Naomba mnisaidie Tawfiq Abdulazack amepangiwa wapi?
  4. E

    Anaeifahamu nyarubanda high school

    jaman wakuu anaeifahamu vizuri nyarubanda high shool aniambie mazingira yake yanaridhisha? ina hostel na mambo mengine? naomba msaada.
  5. E

    Hayawi hayawi yamekuwa form v selection hapaa!!!!

    Jaman naomba mnisaidie kuchek jina EDWIN CLEOPHACE
  6. E

    Majina ya wavulana waliochaguliwa kidato cha tano

    Naomba mnisaidie kuangalia jina la Edwin Cleophace nimemalizia Karamagi sec
  7. E

    Naomba mnifahamishe

    nashukuru mkubwa wangu
  8. E

    Naomba mnifahamishe

    wakuu mliotutangulia naomba mnifahamishe napaswa kuandaa sh. ngapi ili kuanza form 5 kwa makadrio ya gharama zote make mda ni kidogo mno. nitashukuru
  9. E

    Naweza kuchaguliwa kwenda a'level

    Nashukur sana wakuu kwa kunitrust
  10. E

    Naweza kuchaguliwa kwenda a'level

    Jaman wakuu zangu naomba mifahamishe kama kama naweza chaguliwa kwenda a'level ktk government shool kwa matokeo haya CIV-C HIST-D KISW-C ENG-C GEO-D CHEM-D BIO-D MATH-D ni dv 3 ya 25 nitashukuru sana wakubwa zangu.
  11. E

    Hellow

    Hellow wana jf mimi ni mgeni nawasalim nyote kama mwanamember mpya!
Back
Top Bottom