...... huwezi amini, hata kama DR. MWAKYEMBE kaishikisha adabu miche ya michicha, lakini mibuyu inasubiri kimbunga kitakayoisukuma ili iiminye haka kajimbegu ka ulezi DR. MWAKYEMBE kasiote tena. Bodi ya TPA iliyovunjwa iliwekwa na MAFISADI wa nchi hii. Na baadhi ya fedha ndiyo waliyoitumia...
Hili lililomkuta EDWARD LUWASA linatudhihirishia kuwa kweli siasa ni mchezo mchafu. Kila mtu atasema analojua lakini ukweli utabakia palepale, tunauzwa tuko hai lakini muda si mrefu yatauzwa hadi maiti na makaburi ya ndugu zetu.
.... mtu mwerevu ni yule ambaye ameona msiba na kujificha, lakini wasio na uzoefu wameendelea mbele nao lazima waumie' [Meth. 22;3] Hili ni fundisho kwetu sisi sote wanandoa. pole sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.