Ninaowajua walikuwa wanafunzi wenzangu wa chuo walikopa pesa wakawekeza huko. Walipata hasara ya ajabu hakuna return walizolipwa na products haziuziki kutokana na kuwa bei kubwa sana zisizo na tija
Nipo arusha kimandolu tindigani.
Kila ikifika jioni mida ya kwanzia saa mbili hivi umeme huwa unakatakata. Na tatizo hili limeanza tokea nifungiwe luku mwaka huu. Kabla ya hapo hakukuwa na hii hali. Tatizo ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.