Wadau nimetumia computers zinazotumia window, sasa nimechoka mambo ya kuinstall window na matatizo kibao, sasa nataka kuhamia computer za Mack.
Sasa naomba kujua faida zake na hasara zake.
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema,ninamiliki komputer aina ya HP .tatizo nililopata ni aina ya komputer yangu ambayo battery lake lipo ndani ya komputa ,yaani kulitoa mpaka ufungue nati.
So nilivyopata shida ya battery na kulibadilisha battery jipya lilikaa miezi 6 tu then likaanza...
Mwafrika hana akili ya utambuzi,chukulia wale black Americans pamoja NA kwamba wana elimu nzuri, mazingira nk lkn wamegundua nn mpaka sasa? Wao kazi wanayojua ni gangs,madawa ya kulevya,kutopenda kusoma na kupenda kulalamika tu, Wao wenyewe hata kwa dawa hawapotayali kuludi afrika pamoja huku...
NGOJA NIWAPE SIRI MOJA JUU YA KUTOKUWEPO KWA MAENDELEO YA MTU MWEUSI
Mwafrika ndiye binadamu pekee mwenye ngozi imala hapa duniani,sasa je ngozi ina mahusiano gani NA maendeleo?
Kitendo cha mwafrika kuwa NA ngozi imala kumemfanya kuishi katika mazingira yeyote yale NA kuhishi katika hali yeyote...
Wakuu computer yangu inazima nikicheza hii game,harafu wakati wa kuiwasha inanipa message ambayo nimeambatanisha screen shot hapo ,lakini pia nimeambatanisha NA properties za computer,embu nisaidieni tatizo nn?
Harafu KWENYE ile function key f5 inasaidia nini?maana nilivyopress f1 ikaja table ndogo hivi inavikorokoro,sasa nikapress f5 ,baada ya dk5 computer ikazima ,ilivyowaka ikaniambia kwamba BIOS inedetect kwamba nimerequest hybernet ili kuprevent overheating,so ikawa inajizima kila nikiiwasha mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.