Recent content by EdenmusicTz

  1. EdenmusicTz

    Mnaonaje kuhusu hili developer?

    Resourses, commitment, desire, agressiveness is missing
  2. EdenmusicTz

    Offline payment App!

    Nadhani tunge wasiliana kwa hyo namba kama ni hivyo napatikana Dar Es salaam.
  3. EdenmusicTz

    Kuna mobile devices wanaotumia Flutter humu

    Java is massive to all language in all aspect ila sio mzuri kwenye UI kama flutter
  4. EdenmusicTz

    Kuna mobile devices wanaotumia Flutter humu

    Kotlin iko stable zaidi ya Flutter mana hata dart kwenye compile yake hua ina kua translated kwend Kotlin first
  5. EdenmusicTz

    Kuna mobile devices wanaotumia Flutter humu

    Ume nivuruga na Title ila i use flutter in mobile application development
  6. EdenmusicTz

    Offline payment App!

    Kama ni mobile walet payments(za mitandao ya simu kama voda na tigo) ambazo kimsingi ni ussd push unaweza nicheki kwa 0678453797
  7. EdenmusicTz

    Tunahitaji kuundiwa websites na Android Apps

    Ningepende kuwa moja ya watu walio fanikisha hili Am capable na Web development na mobile kwa flutter Nipo Dar ila kwa mahali mlipo naweza fika pia namba ni 0678453797
Back
Top Bottom