Nchini Uingereza taarifa imetolewa kuwa majivu ya mwanafizikia Stephene Hawking yatahifadhiwa katika eneo la Kanisa na jumba la makumbusho Westminster Abbey mjini London karibu kabisa na mabaki ya baadhi ya wanasayansi nguli waingereza, Isaac Newton na Charles Darwin.
Mkuu wa Westminster, John...
HAWKING, EINSTEIN Na GALILEO GALILEI
Je, wajua mwanasayansi mashuhuri Stephen Hawking aliyefariki dunia jana amefariki siku sawa na ambayo mwanasayansi mwingine maarufu Albert Einstein alizaliwa? Tarehe 14 Machi. Wote walifariki wakiwa na umri wa miaka 76. Prof Hawking pia alizaliwa siku ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.