Recent content by Eddy de Jr

  1. E

    JamiiForums Tanzania Muhongo/maswi wote wanachunguzwa iweje asimamishwe maswi pekee mnaelekea wapi??

    Watanzania tunapigwa danadana sana na huyu jamaa. Let's witness how this scandal is being finished. Then we will make a substantial decision!!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Rais haitishi mkutano na vijana?

    Hii ndiyo sababu hasa inayomfanya akwepe mikutano na vijana
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Mbona umekomaa kunicriticise kana kwamba unamzimia sana huyu jamaa...! Kwa hiyo wewe unapomwita firauni ndo uko polite?....... I told u let's tolerate each other this is hard times.......!!
  4. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Inaniuma sana kuona pesa za walipa kodi wanyonge zinatumika kwa maslahi ya watu binafsi . Hebu fikiria hii KATIBA imechakachuliwa, shule hazina madawati na vifaa vya kufundishia,hospitali hazina wataalam wa kutosha pamoja na vifaa hasa vijijini, wafanyakazi wanalia kila kukicha mishahara...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Watu wengine sijui mna matatizo gani. Anapeperusha bendera ya nchi au ya mafisadi.....na ww hili linakuhusu.......Mshamba mkubwa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Wajinga wanaendelea kupumbazwa...... Shame on busha.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

    Ndo zimeshasepa mkuu...... Na bado zitaliwa, tukaze buti kuwatajirisha....... Bora ningekuwa Anaconda wa Amazon.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Hao walioko Diamond Jubilee wanajiskia fresh coz wameshapewa chao kuushangilia uharo anaouzungumza, ili kujaribu kuuaminisha uma kwamba anaongea kile tunachokihitaji......Huyu ndo prezida wetu jamani.....!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Anasema Prof. Tibaijuka atatupisha....ila Prof. Mhongo tutamweka kiporo.......nilitamani kuipasua TV Screen....!! HAYATI BABA WA TAIFA Mwl. NYERERE POPOTE ULIPO HAYA NDO MAISHA TULIYONAYO WANAO.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Eti bodi ya TANESCO ilikuwa imemaliza muda wake, kwa hiyo ni kama imejifuta yenyewe. Kwa hiyo hafikirii tena hasara kubwa walioiingizia Taifa......duzu huyu mtu!
  11. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Ww naona unamwonea huruma......mm nataman hata angenyofolewa hilo libusha lake pamoja na dushe, afu apandikizwe na papuchi.....tuanze kumtumia!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Mbona kijiji kikubwa aisee, huyu hata kuwa mwenyekiti wa familia hafai kabisa. Hivi anatoa wapi confidence ya kuzungumzza hivi??!
  13. E

    JamiiForums Tanzania RC Mkoa wa Dar es salaam: Ningetamani Kama Ningezileta Maabara Hapa Uzione

    Probably this is just a political propaganga. I'm not sure if there is such kind of labs.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe waziri Saada Mkuya aliwadanganya wabunge na spika wao

    Asipowawajibisha leo, heko jeshi mlipindue serikali pamoja na tezi dume wao....!!
Back
Top Bottom