Recent content by Eddy da Rose Jr

  1. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi Bamia lilivyoniponyesha vidonda vya tumbo

    Asante sana.Hata mimi hili tatizo ninalo. Ntafanya kama ulivyoelekeza,,,Thanks a lot.
  2. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    Jamari naombea mtani mrudi salama.Mbinu ni moja tu mwachieni mamelodi wawafunge mrudi na uhai wenu.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Da kwamimi binafsi sijafurahishwa na mchezo.

    Yanga kule sauzi anafungwa laba wabadili mbinu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Roberto Carlos.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Euro 2024 is officially set

    Naziombea Belgium au Croatia wachukue ubingwa.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Duh,,,maajabu
  7. E

    JamiiForums Tanzania Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Didier Drogba Eric Choupo Moting Simon Adingra Thierry Henry Anderson
  8. E

    JamiiForums Tanzania Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Shinji Kagawa
  9. E

    JamiiForums Tanzania Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Jina la mtu mmoja hili??
  10. E

    JamiiForums Tanzania Simba wana nafasi ya kuwa Bingwa Ligi Kuu

    Simba mechi tata ni vs Yanga,Azam, Kagera, KMC hapo ndo wafanye umkini wa hali ya juu. Mechi zingine ni za kawaida.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Pacome Zouzou ni legelege sana, amevunjika kwa sababu amekutana na chuma cha pua Yahya Zayd

    Fei Toto una hatari.Nitakupa dadaaa,,,
  12. E

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Asanteni Azam FC. Nlikuwa nmebeti kwa hela ya nauli kesho. Saiv mambo muruaaa
  13. E

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Dua ya kuku haimpati mwewe we
  14. E

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Yanga midfield Hanna kitu leo, mtalizwa anytime.
  15. E

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Yanga middle imekufaa leo,,, wanaweza kufungwa,,, Aucho + Pacome out,,, Sure boy hana match fitness kihivo,,,
Back
Top Bottom