Ni wakati sasa tuwe wakweli , rasilimali za Taifa letu zipo kwa ajili ya Taifa zima bila kujali wapi rasilimali hizo zipo.
Ndio maana gesi ya Mtwara inatumika nchi nzima.
Vivyo hivyo kwa Ngorongoro , mapato yanaenda Hazina kwa ajili ya Taifa zima lakini na wao wakipewa zaidi ya mabilioni kila mwezi
hao wote vilaza hakuna jipya hawana mchango wowote ndani ya ccm ZAMBI hadi leo akipanda jukwaani anasema habari za mwaka 1961 yaani hajielewi MARRY MWANJELWA kawapa hela watu kazi yao kumsifia tu hana lolote MLUGO nae ni BASHITE anatumia jina la mtu hao ndio wanafanya siasa ya mbeya hasa upande...
Picha za kupiga upande mmoja hazipo tena wananchi wanataka maendeleo,tena hapo watu walikuja kwenye fainali ya mpira walikuwa wanaona anawachelesha maana nimekaa mwanzo mwisho hakuna la maana aliloongea
breaking news.usiku huu david kitundu jairo anashikiliwa na takukuru ofisi ya wilaya ya iramba kwa makosa ya kutoa rushwa. Ndg jairo ambaye ni mgombea ubunge anadaiwa kutoa 30,000 kwa viongozi wote wa kata 19 yaani watanowatano , ametoa 20,000 kwa viongozi watanowatano wa watawi 135 na anetoa...
breaking news.usiku huu david kitundu jairo anashikiliwa na takukuru ofisi ya wilaya ya iramba kwa makosa ya kutoa rushwa. Ndg jairo ambaye ni mgombea ubunge anadaiwa kutoa 30,000 kwa viongozi wote wa kata 19 yaani watanowatano , ametoa 20,000 kwa viongozi watanowatano wa watawi 135 na anetoa...
Wadau nilikuwa naendelea kufuatilia na sasa ni hivi .USIKU HUU DAVID KITUNDU JAIRO ANASHIKILIWA NA TAKUKURU OFISI YA WILAYA YA IRAMBA KWA MAKOSA YA KUTOA RUSHWA. NDG JAIRO AMBAYE NI MGOMBEA UBUNGE ANADAIWA KUTOA 30,000 KWA VIONGOZI WOTE WA KATA 19 YAANI WATANOWATANO , AMETOA 20,000 KWA VIONGOZI...
Habari zilizotufikia hivi punde.
Aliyekuwa katibu wa wizara ya nishati na madini na baadae kufukuzwa kwa tuhuma za Ufisadi na kuhalamisha mchakato wa upitishaji wa Bajeti ya wizara ya Nishati na Madini Ndugu David Kitundu Jairo anashikiliwa na TAKUKURU wilayani Iramba kwa tuhuma za kugawa Fedha...
yule dogo anaweza tatizo ni chama chake watampiga chini watuletee mtu wa ajabu hapo ndipo sugu atachukua mapema sana,wamlete yule dogo ili waludishe imani ya chama maana ccm bila kuhonga ni tatizo,yule dogo anauzika vizuri sana
Sugu ni mbunge wa ajabu sana hataki kubadilika sasa mwaka huu ndio ataona moto wake,tumembeba ili abadilishe maisha harafu yeye analeta usela maana hakuna chochote watu wa mbeya kafanya zaidi ya kuzingua leo hii hatambui wasanii wakina g solo mkoloni dani msimamo ndio walimhangaikia hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.