Umetaja[emoji121] [emoji121] hao wote ni wanasiasa kila mmoja ana uwezo wake. Tuchambulie kama mada isemavyo Kati ya kujenga hoja na kuhutubia hadhara vizur yupi ni bora?
Tumekuwa na wanasiasa wa aina nyingi na uwezo mbalimbali katika you dunia. Leo napenda tujadili Kati ya mwanasiasa mwenye uwezo wa kuhutubia hadhara (to deliver speech) na mwenye uwezo wa kujenga hoja ( bring strong facts) yupi ni bora katika jamii? Na ubora wake uko katika yanja zipi?. Karibun...
Mshauri aanze kwenda kanisani, taratibu atazoea na roho mtakatifu atamsaidia ataachana na mawazo ya waganga wa kienyeji.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.