Recent content by Eckison

  1. Eckison

    SOLD: Tv nchi 40, kitanda na sofa vinauzwa (Mwanza)

    Mbona hujaweka namba yako ya SIM kwa mawasiliano?
  2. Eckison

    Msaada: Nilikwenda shule kwa mwaka1 tu lakini nimerudi nikakuta kabadilika kitabia na kusikia maneno machafu mtaani

    Msaada wa TV inch 32 blackstone Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  3. Eckison

    SOLD: Tv nchi 40, kitanda na sofa vinauzwa (Mwanza)

    Hiyo TV bei sh ngapi?
  4. Eckison

    INAUZWA Welcome To Electronics products Empire

    Nch 32 sh ngapi?
  5. Eckison

    Msaada: Nilikwenda shule kwa mwaka1 tu lakini nimerudi nikakuta kabadilika kitabia na kusikia maneno machafu mtaani

    Hakusema yuko na nani na anafanya kazi gani na sasa siku ya nne sasa hapatikani.
  6. Eckison

    Msaada: Nilikwenda shule kwa mwaka1 tu lakini nimerudi nikakuta kabadilika kitabia na kusikia maneno machafu mtaani

    Mda wa miaka 2 alikuwa hajaenda kusalimia kwao sasa nilipoona maelewano hakuna ikabidi nimwambie aende akasalimie ndugu zake na niliwasiliana nao wakaniruhusu aende
  7. Eckison

    Msaada: Nilikwenda shule kwa mwaka1 tu lakini nimerudi nikakuta kabadilika kitabia na kusikia maneno machafu mtaani

    Mimi nina mke tumeishi miaka 5 na tuna mtoto mmoja wa miaka 4. Nilikwenda shule kwa muda wa mwaka mmoja tu lakini nilivyorudi nikakuta kabadilika kitabia na kusikia maneno machafu mtaani. Lakini kuuliza ili nijue chochote anakuwa mkali. Nikaamua kumrudisha kwao akapumzike kidogo. Huko kwao...
  8. Eckison

    Mchumba wangu kanisaliti!! Niko kwenye maumivu makali naombeni ushauri

    Jamani mahusiano ni kurekebishana tabia na kuvumiliana lakini sio kila kosa uhukumu, Bila hivyo wazazi wetu wasingetuleta Duniani. Chakufanya kaka mkanye kwa Mara ya kwanza na umshauri atakuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Eckison

    Car4Sale Toyota KLUGER (number DN) inauzwa.

    Nazani hiyo gari ina jinsia ya kike, coz wadada wanapenda kupiga picha upande wa nyuma tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Eckison

    Mkopo wa haraka unahitajika.(3, 000,000)"Dhamana hati ya kiwanja (Madale-Dsm)

    Sasa ulikuwa unatoa hela kwa wanaofanya starehe zao wakati unajua watoto wapo? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom