Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,269
- 40,078
Fanya maombi ya kukemea pepo
ushamba ni tatizo..... DEMU KLAMA UNAMTAKA HUWEZI KUMWAMBIA AKAKAE KWAO.Hakuaga hio inamaanisha katoroka.
Inategemea kwao ulimrudisha kifungo cha ndani au akaendelee na maisha yake. Au ilikuwa likizo? Pia kubadilika tabia ndio kufanya nini? Hiyo tabia mbadala ameendelea nayo ata baada ya wewe kurudi au alikuwa na hiyo tabia ata kabla hujaondoka? 'Abiria chunga mzigo wako' applies ata kwa ndoa bro.Mimi nina mke tumeishi miaka 5 na tuna mtoto mmoja wa miaka 4. Nilienda shule kwa muda wa mwaka mmoja tu. Lakini nilivyorudi nikakuta kabadilika kitabia na kusikia maneno machafu mtaani. Lakini kuuliza ili nijue chochote anakuwa mkali. Nikaamua kumrudisha kwao akapumzike kidogo. Huko kwao katoroka kwenda jijini Mwanza. Je kwa imani yenu mtu kama huyu anaweza kubadilika?