aisee hawa jamaa wa chadema huwa nacheka sana na kuwashangaa sana hivi karibuni Tundu Lisu alisema chama pinzani Tanzania ni cdm pekee vingine ni ccmb sasa imakuwaje wanapotaka vyeo wanaenda kwa hao hao ili wawaunge mkono? halafu kwa nini wasingegombea umakamo na nccr wagombee umwenyekiti kwa...
sasa mbona madiwani mliowafukuza walisema kama golugwa kamba walichaguliwa na wananchi ili wawatumikie na siyo migomo wakafukuzwa iweje leo wanaongea yaleyale
sasa nyie cdm wananchi wawaelewaje maana wakati wa campain mlisema mkiingia mnamng'oa meya wa kichina au mmegundua kanuni haziruhusu ndo mnakuja na maneno halafu golugwa angalia kama hujawasiliana na mbunge ndo utafukuzwa tena
hivi niwaulize kama watu wamesema wenyewe hawana imani na jeshi, police,usalama wa taifa na kwamba hiyo red bregade ndo itachukua majukumu hayo si ina maana kwamba watakuwa na siraha kama za police na jeshi ili ikitokea wameonewa waweze kujitetea ndo maana wenye akili wanasema ni kama cdm...
mimi nakuunga mkoni kamanda mwigulu kwani hawa cdm wanasema jeshi haliwalindi police na usalama wa taifa pia sasa wanalindwa na nani kama siyo kama wana jeshi lao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.