Wewe ndio ndio unatembea na kichwa chake,, acha upuuzi na wewe. Hulazimiki kukumbali. Kumkubali au kutomkubali upon ktk mdomo wake,, tuache upuuzi na ujinga.
Ni kweli alikuwa jabali la siasa la mageuzi ya vyama vingi, lakini hakumaliza safari yake vizuri ktk kuleta mageuzi.
Alifanya makosa kurudi CCM hata kama kulikuwa na mivutano ktk chama chake cha upinzani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.