Recent content by Ebenezer14

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua soko la mawe lenye madini ya sumaku

    Unaweza kunisaidia contact zao
  2. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua soko la mawe lenye madini ya sumaku

    Wakuu habari zenu, Naomba kujua kama kuna mtu anayefahamu soko la mawe yenye madini ya sumaku kuna sehemu yapo. Sasa kama kuna mtu anayefahamu soko lilipo, naomba msaada tafadhari.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye utaalamu na biashara ya nguo za watoto

    Mwenye idea kuhusu biashara ya nguo za watoto za mtumba, yaani jinsi ya kupata mzigo, capital ya kuanzia na operation cost, msaada please.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Naomba tuwasiliane boss unipe muongozo vizuri
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Tsh 500,000 naweza kufanya biashara gani?

    Habari wana JF, Naomba msaada wa mawazo, nina 500k nataka kuanzisha biashara ila sijajua biashara gani itafaa kwa huo mtaji. Msaada plz
Back
Top Bottom