Recent content by ebenezaa

  1. E

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maumivu au uchungu wa kifo unaompata mtu anayekufa 'Sakaratul-Mauti'

    Mna shida nyiieee.....sisi wenzenu kuishi ni Kristo,kufa faida,tunakufa km tumelala tunangojea ufufuo!!!!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Mshahara laki tatu na hamsini na Tisa......hongera saaana
  3. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Yaaan.......huyu kijana hodarii aiseee
  4. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Dhambi ya uzinzi huyu Kaka anajifanya vzr saaana
  5. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana na mwanamke wangu sababu ni mazoea na wanaume

    Yaan hapo point kubwa ni umaskin unakusumbua mpk unahisi kuzidiwa na dereva bajaji....tft hela fala weeee
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Kuna mwaka tulikuwa bwenini mda wa darasan,mwl wa zamu alitukuta aiseee,akatupa adhabu ya kulala ofisini mda wa masomo kwa wiki nzima,Cha ajabu hakuna hata mwalim aliyekuwa anashtuka kusema aongee na mwl mtoa adhabu Ila Mungu siyo makonda.....yule mwalim aliumwa jaman baada ya like tukio nazani...
  7. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    SEMA yule dada Ana asili ya wehu....kutoka hataki,kutii hataki anaishia kupigwa km mbwa mwizi
  8. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Na upendo hauhesabu mabaya.....upendo hauna kisasi,upendo unasamehe
  9. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Walioshindwa Wana manenooo
  10. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Hapa nakaziaaaa,mama yangu alikuwa anamheshim Sana baba yangu,nami nimeiga lkn rfk yngu mama yake alikuwa anamdharau baba take nae kaiga anamdharau mmewe,Sasa mmewe mnyakyusa jmn anapigwaaa mpk KERO Ila yule dada kujirekebisha kashindwa kbisa
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Walioshindwa Wana maneno mengi,usiwasikilize!!!
  12. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Tatizo mnatishana saaaana,ktk kipindi nainjoi ktk maisha yangu no hiki nilichopo kwenye ndoa yaan nna mtu special ambae ndio kila kitu kwangu,nna ubavu wa kuegemea nikiwa na magumu,nna msiri wangu anaeweza kunikamua jipu kwenye kidu# nna mtu ambae anajifanya najitutumua kila nipitapo,nna mtu...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya kipele hiki

    Sasa ukinyoa ndio upige picha unapungukiwa nn??? Kwa Hilo vuz* mtt wa kike utasubiri saaaana
  14. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumuelewa huyu mwanaume

    We ni kipozeo chake Cha nyege Ila mpenzi wake ni mtu mwingine na anakufanyia hivo maana kakuona mwepeeeesi
Back
Top Bottom