Recent content by Eastern Arc

  1. E

    JamiiForums Tanzania KUFUNGIWA REDIO IMAAN NA NYINGINEZO: haki haijatendwa!

    Kwa kweli wewe ni kichaa kabisa. Unaongeleaje radio iman bila kutaja uislam?! Hoja zipi huwa wanatoa zaidi ya hiyo fikra yako finyu ya udini? Na lile suala la kutokuwa na mwislam hata mmoja baraza la mitihani ulilozungumzia hapo juu linahusiana vipi na radio imani?
  2. E

    JamiiForums Tanzania KUFUNGIWA REDIO IMAAN NA NYINGINEZO: haki haijatendwa!

    We ndugu wewe, computer huwa inakosea hata kuendesha ndege, inaanguka na kuua watu, sembuse baraza la mitihni kukosea kusahihisha Quran! Suala la baraza kuwa na mwislam ni dalili za wendawazimu ulipitiliza. Nani amekwambia kuwa akiwemo mwislam ndiyo mtapata akili ya kufaulu? Wekezeni kwenye...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Hawa jamaa wa Power Breakfast na jicho lako la ng'ombe walistahili kufungwa wao. Wanaongea vitu vya upeo wa chini kabisa, haufai. Lakini kwa kuanzia inatosha
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Achani wendawazimu wa kimawazo na fikra finyu. Huyu jamaa amejiendeleza vema sana na anastahili pongezi nyingi sana. Kama hayuko vema kiakilia kama unvyoataka tujue asingeweza kufaulu masters pale Mzumbe. Dr Salim Ahmed Salim na mzee Mwinyi (rais mstaafu) hawakuwahi kusoma Bachelor degree...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Radio Clouds na Anguko la Elimu na maanadili nchini

    Nakumbuka mwaka jana yalipotangazwa matokeo ya Form 4 kuna kijana mmoja aliyefanya mtihani huo ikaonekana badala ya kujibu maswali yeye alijikita zaidi kwenye kuandika mistari (tungo za bongo flava). Hii kitu ilivuma sana na ilikuwa mshangao mkuu kwa Taifa hili changa. La ajabu na kusikitisha...
Back
Top Bottom