Habari za muda huu wakuu,
Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi)
Kwa muda wa miezi miwili sasa...
Mkuu shamba/viwanja kwa location nzuri inalipa return kubwa sana baada ya period of ten years.
Sharti utengezeze title deed pasivamiwe,
Then location iwe potential (jirani na mji mkubwa).
ukilenga location nzuri kwa ukapata heka kwanzia heka 50 wewe ni Tajiri wa miaka 20 ijayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.