Wanaotakiwa kuzamishwa baharini na kufungwa miguu ni hao waliokataa kutusikiliza sisi wananchi na wakatudhihaki.
Na mpaka hivi sasa hakuna aliekiri wala kuwajibika wanatudhihaki na wanatudharau sana.
Sasa nasema ipo siku yale ya tarehe 29 yatajirudia.
Jibu swali la mtoa mada acha kubwabwaja tu maneno meengi unamaliza miti.
"
Sasa mimi nauliza, hao watu 518 ni akina nani?
Majina yao, jinsia zao, umri wao, na kadhalika, yanajulikana?
Je, hati zao za vifo zipo?
Je, ndugu zao ni akina nani? "
Jibu maswali weka uchawa pembeni.
Bado haihalalishi raia wa nchi inayoongozwa na katiba na sheria kupigwa risasi.
Wanatakiwa wakamatwe wapelekwe mahakamani.
Siku utakuja kutekwa au kupotezwa wewe au ndugu yako kwa dhulma kisha akili itakukaa sawa maana kuna machawa kama wewe nawafaham vizuri akili zao zimebadilika kwa kukutwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.