Recent content by East Melody

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano mkubwa kati ya mapepo na ulaji wa nyama ya nguruwe

    Ila nguruwe walijitupa kwenye maji wakafa, huoni kama nguruwe aliwakataa washkaji zake?, we unadhani ni kwanini majini wanaishi baharini ?, sio kwa sababu baada ya wana kuwatema kwenye maji ndo ikawa wakaamua basi so issue acha tu tuple humuhumu kwenye maji?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Sababu za Majini/Mapepo Mengi kutopatana na Nyama ya Nguruwe

    Tatizi majina halisi mengi yameondolewa kwenye kitabu, visa vingi halisi vimetolewa na kuoachikwa visa vipyq, qamechomoa mistafi mistari hara kufikia hatua hatupati uponyaji unaotazamiwa. Address ya kumuaddress huyo Mungu wa Nuru tunaikosa tunajikuta tunamuaddress mkuu wa giza naye hatusaidii...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Sababu za Majini/Mapepo Mengi kutopatana na Nyama ya Nguruwe

    Harafu ajue tu kwamba kama anakaa nchi za watu hao jamaa ni tofauti na sisi, hao jamaa mataifa mengi huwa hawapuuzii jambo hata kama ni dogo kiasi gani. Hizo jamii wakati wa nyakati za giza ziliteshwa sana na uchawi na majini hadi kufikia wengi kupiyisha sheria nzito za vifo hadharani. Huwa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Sababu za Majini/Mapepo Mengi kutopatana na Nyama ya Nguruwe

    Point ya msingi sana. Hawa majamaa pamoja na vichina, ni vinakula mdudu hivyo!!!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi hawajui chochote kuhusu taifa la Israel, part 2

    Hiki kitu hata mimi niliwahi kukisikia tena kwa mdomo wa baba yangu wakati huo nikiwa kijana mdogo tu, ila sikukifuatiliaga hadi nilipokisoma tena hapa.
Back
Top Bottom